Natafuta kazi Dar, nina Diploma ya Procurement

A love

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
93
Reaction score
119
Jamani Mimi ninaishi mkoani, elimu yangu ni diploma ya procurement lakini sina kazi , Mimi ni binti wa miaka 24 , ninaishi Mwanza na wazazi wangu lakin kama mnavyojua kuishi hom ni Jambo gumu sana , natamani niende Dar angalau kuanza na mimi maisha yangu lakini sina hata mtaji.

Naombeni kazi yoyote ile inayowezekan kufanya kwa mtoto wa kike, isiwe ya ndani wala mama ntilie, nisaidien mdogo wenu kwa hata mwenye connection.
 
Jamani Mimi ninaishi mkoani ,elimu yangu ni diploma ya procurement lakini sina kazi , Mimi ni binti wa miaka 24 , ninaishi mwanza na wazazi wangu lakin kama mnavyojua kuishi hom ni Jambo gumu sana , natamani niende dar angalau kuanza na mim maisha yangu lakini sina hata mtaji ,naombeni kazi yoyote ile inayowezekan kufanya kwa mtoto wa kike ,isiwe ya ndani wala mama ntilie th, nisaidien mdogo wenu kwa hata mwenye connection ,
Hizo ulizokataa ndio rahisi kupata! Sasa unataka uje dar Kodi ya pango unayo na hela ya kujikimu wakati unangoja hio kazi?

Bila hivyo jiandae kuchakazwa mbususu hio ili upate kuishi!
 
Ndiyo maana ya kuomba mwenye connection ya kazi ,umeelewa maelezo yangu?
 
Jamani Mimi ninaishi mkoani ,elimu yangu ni diploma ya procurement lakini sina kazi , Mimi ni binti wa miaka 24 , ninaishi mwanza na wazazi wangu lakin kama mnavyojua kuishi hom ni Jambo gumu sana , natamani niende dar angalau kuanza na mim maisha yangu lakini sina hata mtaji ,naombeni kazi yoyote ile inayowezekan kufanya kwa mtoto wa kike ,isiwe ya ndani wala mama ntilie th, nisaidien mdogo wenu kwa hata mwenye connection ,
HUMU JF KUNA JAMAA ANAITWA NAWATAFUNA ,
NADHANI ATAKUJA KUANGALIA NAMNA YA KUKUTAFUTIA CONNECTION.
 
Ni lazima iwe Dar? Mdogo wangu huku maisha ni magumu sana hasa kwa binti anayekuja kuanza maisha bila kipato cha uhakika.

Ushauri wangu, anzia hapo ulipo wakati unasubiri connection jishughulishe hata kwa biashara ndogo ndogo za kukuingizia kipato.
 
Nawe unataka mbususu au unataka kumatisha tamaa....why negative vibes?
Kweli mwambie, sio kukatisha tamaa watu ,m ninaimani kupitia hii hi jf Kuna watu wema na wabaya ,so kupitia uchache wa wema mtu unaweza fika malengo yako , kikubwa kusaidiana tuu
 
Ni lazima iwe Dar? Mdogo wangu huku maisha ni magumu sana hasa kwa binti anayekuja kuanza maisha bila kipato cha uhakika.

Ushauri wangu, anzia hapo ulipo wakati unasubiri connection jishughulishe hata kwa biashara ndogo ndogo za kukuingizia kipato.
Najishughulisha pia na vikazi vya hapa na pale
 
Vizuri, pambana huko huko utafanikiwa ila huku utaishia kutapeliwa
Usiseme hivyo ,kwani sio mala yangu ya Kwanza kuishi huko , kikubwa mtu awe na ramani pia kazi dear
 
Back
Top Bottom