Kuwa na cpa sio kigezo sikuiz wapo graduate wa cpa wengi tu wanavoluntee wengine crdb
Kuwa na cpa sio kigezo sikuiz wapo graduate wa cpa wengi tu wanavoluntee wengine crdb
mwxho wa reli
Walioko huku wamekua wanajua matumizi sahihi ya x na s vinginevyo na wewe ni walewale adolescent wa fb
Inategemea umemaliza chuo gani, kama ni sauti, tumaini au kiu ni ngumu kidogo kupata kazi. Inabidi ufanye masters udsm kupolish cheti chako mkuu.
mambo ya vyuo ilikuwa zamani chief. Mimi mwenyewe nimesoma UDSM but siku hizi wanapima kujielezaInategemea umemaliza chuo gani, kama ni sauti, tumaini au kiu ni ngumu kidogo kupata kazi. Inabidi ufanye masters udsm kupolish cheti chako mkuu.
Tatizo nchi yetu haieshimu professional kazi ambazo wanatakiwa wafanye professional hata ambaye sio professional anafanya ili mradi mtoto wa mjomba.Mimi wakati nafanya module E nimesoma na chief accountant wa wizara mbili wanawake wanakuwa wahasibu wakuu wa wizara lakini sio professional kibaya zaidi wahasibu wa chini yao wana CPA
dah! yaani umenikatisha tamaa coz nipo kwenye plan kupiga nbaa next year so kuwa na magamba ya nbaa sio njia ya mkato ya kutembea na bahasha kila ofisi?
kwani umeambiwa naandika majibu ya mtihani wa taifa,au unafanya kazi baraza la mitihani.
Aaaah wapi! Nina CPA since 2012 ila kazi siku hizi ni YOU KNOW WHO.? Ukiwa na vyeti afu una connects inakuwa rahisi, ila mivyeti humjui mtu utasaga lami na bahasha mpaka basi!Sio CPA tu ata acca ukiipata tu bila work experience sio kiashiria kwamba unapata kaz moja kwa moja...mtu awez kukuajir na cpa yako akulipe ghali while u have no experience at all... Apo ndio swala la kuvolunteer kweny firms linapokuja..at least wale ni waelewa they will be willing to teach compared to other institutions ambako unakuta hata senior accountant Hana cpa ... Once u have experience plus ur cpa there will be no one like u in the job market yan kila ukiaply unapata.. That's how it is!!
Aaaah wapi kampuni za wazungu siku hizi CPA uchafu tu, wanata ACCA, NA UWE UMESOMA UK,US,CANADA,RUSSIA HATA VHINA NA UMEFANYA KAZI MULTINATIONAL ZA NJE NDO MTAELEWANA UWE NA INTERNATIONAL EXPERIENCE SIO KAYUMBA AFU UNALETA USUMBUFU,asilimia kubwa ya wanaoponda CPA ni wale ambao hawana. Hujiulizi kwanini Kuna wazee wengi unakuta mnapiga nao mtihani na wengine wamefanya zaidi ya mara 5. CPA in deal sana hasa ukikutana na Makampuni yanayoithamini kama auditing firm na Makampuni ya wazungu.
SOko la ajira limeingiliwa na kujuana na Mtu anaogopa mtu mwenye CPA maana wakikaa nae kidogo anaweza kuwakimbia.
Firm zipo zaidi ya 150,fanya mpango kipindi cha high season uende chache lazima utapata.
Aaaah wapi kampuni za wazungu siku hizi CPA uchafu tu, wanata ACCA, NA UWE UMESOMA UK,US,CANADA,RUSSIA HATA VHINA NA UMEFANYA KAZI MULTINATIONAL ZA NJE NDO MTAELEWANA UWE NA INTERNATIONAL EXPERIENCE SIO KAYUMBA AFU UNALETA USUMBUFU,
ahh mkuu hata ofisi unayotaka kufanya kazi hupajui aisee...
Ernst&Young ipo along Ali hassan mwinyi road karibu na ubalozi wa Ufaransa,Deloitte na KPMG zipo PPF Tower floor ya 8 na 10 kama sijakosea,PWC ipo Oysterbay,RSM Ashvir ipo Golden Tower cjui ndo panaitwa but besides PPF Tower...zipo auditing firm nyingi,ili hizo ndo kubwa nnazozijua,
Aaaah wapi kampuni za wazungu siku hizi CPA uchafu tu, wanata ACCA, NA UWE UMESOMA UK,US,CANADA,RUSSIA HATA VHINA NA UMEFANYA KAZI MULTINATIONAL ZA NJE NDO MTAELEWANA UWE NA INTERNATIONAL EXPERIENCE SIO KAYUMBA AFU UNALETA USUMBUFU,