Natafuta karanga,

Natafuta karanga,

Nyie madalali mnatusumbua sana.Dalali akitaka kitu anataka kukutana na mwenye mali ila wewe mteja ukitaka mali kumuona mwenye mali ni marufuku hadi wanatishia kumua mwenye mali au kukupiga wewe
 
Weka maelezo yaliyonyooka boss wangu

•Unataka karanga kiasi gani?
•Uko wapi?
•Unakuja mwenyewe au unataka kuagiziwa?

Karanga zipo za kutosha hapa Ludewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom