Natafuta Kanzu nzuri

Natafuta Kanzu nzuri

Talapo

Senior Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
120
Reaction score
41
Wadau napata wapi Kanzu nzuri kwa hapa Dar hasa Wilaya ya Kinondoni..
 
Watafute Masheikh Wa Bagamoyo au Mtafute Mkuu Wao Mzee Juma Kapuya Anazo Nyingi Tu Kwani Kuna Zilizobaki Kutoka Kule Bagamoyo.
 
Mimi nahitaji kumiliki bastola kisheria nitapata wapi
 
Mkuu ameuliza kanzu na maeneo ameyataja, sasa mambo ya kujaza fomu yanakujaje? Back to the point, kuh. Kinondoni sifahamu kwa kweli lakini ungekuwa na ndugu Zanzibar maeneo ya mlandege kuna kanzu nzuri sana za aina mbalimbali.
 
Kanzu nzuri zipo aina nyingi tu, wengi kama walivyokushauri uende msikiti wa Mtoro.

Mimi Gozi langu huwa nnamuagizia kanzu za darzi (na kofia za mkono) kutoka Comoros, ni nzuri sana kusema kweli (sema zina bei kali na mpaka uwe na mtu wa kukuletea).
 
Nicheki mm ninazo kanzu kali sana sema bei 120k . Kama utaweza kulipia bei hio nichek 0782839988
 
Kanzu ni kitu gani au ni magunia ya kuwekea pamba chafu?
 
Kanzu nzuri zipo aina nyingi tu, wengi kama walivyokushauri uende msikiti wa Mtoro.

Mimi Gozi langu huwa nnamuagizia kanzu za darzi (na kofia za mkono) kutoka Comoros, ni nzuri sana kusema kweli (sema zina bei kali na mpaka uwe na mtu wa kukuletea).

gozi:what:
 
Msoga boy ama? GOZI:
 
Back
Top Bottom