Natafuta kanga wa kufuga

Natafuta kanga wa kufuga

gayo

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
238
Reaction score
93
Habari msomaji!
Natafuta kanga jike 3-5 wa kufuga. Niko maeneo ya DSM. Yeyote atakaye kuwa nao kuanzia saizi ya kati hadi wakubwa aniPM au ajibu hapa.
Nahitaji majike tu!
 
Salaam...mimi ninao wakubwa ila wako Moro.Naweza kukuletea mpaka hapa Dar.Nauza elf 25 kila mmoja
 
Kaka unaweza kuleta lini?

Nawahitaji kwa haraka
 
Back
Top Bottom