Natafuta kampani ya washkaji 3-5 kwaajii ya mitoko kila wikendi

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wadau,
Mwenzenu nimeona sio dili kwenda Night Clubs za jiji hili peke yangu maana inakuwa ni changamoto hata kwenye uopoaji vimwana, pia bila kampani hata bia hazinogi. So kama upo interested please niPM kwaajili ya kuunda Crew ya mitoko na kupeana kampani pale kila mmoja anapokuwa hana shughuli, kutembekeana n.k. Thanks
 
Pole sana mkuu,bado u mvulana sana,una kazi ya ziada na bila kusahau maombi ili uache hizo tabia,kula maisha bro,life start at 40yrs tutakutana!
 
Mtaani unaishi na ma`hyena? Hakuna hata neiba, school mates, college mates or work mates unaoget nao a long uka hang nao?
 
Iyo kampani baadaye inakugeuka na kulazimishwa @ a knife point ushushe marinda ama uokote shanga ulizodondosha.

Kafanye homwek hukoo!!
 
Wadau,
Mwenzenu nimeona sio dili kwenda Night Clubs za jiji hili peke yangu maana inakuwa ni changamoto hata kwenye uopoaji vimwana, pia bila kampani hata bia hazinogi. So kama upo interested please niPM kwaajili ya kuunda Crew ya mitoko na kupeana kampani pale kila mmoja anapokuwa hana shughuli, kutembekeana n.k. Thanks

Una hela ya bia.......?.....sio utupe matatizo wenzio......
 
Wewe jamaa na Club!

Ina maana bado unashindwa kung'oa mademu wa Club?

Mpaka uunde tume!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom