natafuta kampani leo usiku singida

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,606
Reaction score
8,270
nitafika singida leo saa kumi na mbili je niende wapi nikapate kampani ya mwanamke nuwe nae usiku wote na kesho dom napo ntapata wapi kampani
 
ukimwi nao always unatafuta kampani..... Tena singida na dodoma ndio umetia nanga.... ulizia kirima bar & lodge.. Utapata mwanamke na ukimwi juu. WISHING U BAD LUCK.. Pathetic
 
Hivi huwezi kulala tu bila kusex na m'namke??
Yaani unasafiri unawaza ngono tu...poor you!
 
You will die before your age, good luck on your way to hell.
 
Unaweza letewa mke wa mtu ongea na mdau
 
Duh! hata pa kulala hujapajua unawaza ngono!!!! Taratibu Mkuu!!!

nitafika singida leo saa kumi na mbili je niende wapi nikapate kampani ya mwanamke nuwe nae usiku wote na kesho dom napo ntapata wapi kampani
 
Duh, bahati imenipita. Nitumie mshiko nije na kikunguru fasta, 10,000 US $ zitatosha kuletw na kufuatwa kesho asubuhi.
 
nitafika singida leo
saa kumi na mbili je niende wapi nikapate kampani ya mwanamke nuwe nae
usiku wote na kesho dom napo ntapata wapi kampani

Madem wa singida walainii,yaani we unashika mkono tu.Niliwahi kuja huko kama miaka 3 ya nyuma nikazima sigara mwenyewe,full mishobo,mara wakubinyie mimacho na hvi walivyojaaliwa sura,taaab sana,take care baba,kuna ngwengwe hatari,nenda serengeti pub,kuna madem wa sampuli hyo niliyoisema
 
Next time take your wife with you please. Kwanza mimi naona huwa inakuwaga poa sana maana hata yeye ata-appreciate your creativity. Otherwise usipojenga mazingira ya aina hiyo basi ujue wakati unfikiria kupata kampani nyingine outside, kuna watu wanataka kupata kampani ya mkeo. Be careful bro..!
 
Duh!!!!! katika zama hizi za Ukimwi wewe unaulizia blanketi chapa binadamu!!!!? Kweli kazi kweli kupambana na ukimwi, yaaani uwezi lala pekee yako?. Naona hata jina lako hapo juu ungejiita "fimbo ya ukimwi" kuliko hiyo fimbo ya asali., Pole ndugu husipende sana kuamini hayo maganda unayoyategemea
 
Risk ni ya kwake mwenyewe...nyie mpeni mchongo tu kama mnajua....
 
duh!nimesona hizo comments zebu zote nikaufyata nimelala alone,nimefungua chupa ya glendfiddich,nikautwika kinyaaaaaaa
 
vipi na wewe ulipata ile kampani uliyokuwa unaitafuta?
when did you return from hell!?

Mkuu mie nilikuwa natafuta kampani ya kawaida kabisa, sema naweza kueleweka vibaya sababu jukwaa lenyewe ninalotafutia limekaa kizinzi mno! Mie sina hayo mambo ya kizinzi mkuu.
 
Mkuu mie nilikuwa natafuta kampani ya kawaida kabisa, sema naweza kueleweka vibaya sababu jukwaa lenyewe ninalotafutia limekaa kizinzi mno! Mie sina hayo mambo ya kizinzi mkuu.

kwanini isingekuwa kampani yoyote ,bali ukaspecfy unataka kampani ya mdada?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…