Natafuta kagari ka milioni nne

Natafuta kagari ka milioni nne

ka huna kazi na hela yako bora ukalimie. kuna gari ya mil4? au unanunua madeni ww? ongeza mil 1.5 agiza vits. agiza passo. ndo gar ya bajeti yako. embu amkeni. utakuta ilo kopo utakalonunua linakula matengenezo laki 3 kwa mwezi, sasa ndo umefanya nn? ningekuwa karibu na ww. ningekunasa kibao ili uamshe akili yako. unabahati..
 
Nimeuza gx 100 yangu kwa milioni 3 tu na aliyenunua hakuamini kama gari ni nzima na sasa hv navyokuambia kaenda nayo mwanza ndio anakoitumia na safari za mwanza to musoma sana tu na gari haijasumbua mwezi wa tatu tangia niuze, hiyo pesa mbn atapata gari tu tena na huu mwanzo wa mwaka watu wanatafuta ada za kupeleka watoto shuleni
 
Back
Top Bottom