so far me..
but i think that is gona change soon lol
hahahah lol
CHANGE SOON?:confused2::boom:
yeah namie najitafutia king of my jungle..hahahah lol
careful though........ Most kings now days are chinese versions! L.o.l
nako kabinti kanatafuta kijana mteke hivi kaku rap ili awe anacheza pia mcheza kikapu anaona anamfaa zaidi nadhani nafuta mkubwa kwa size yako mi ntakuelekeza walipo
mzinzi huyoJamani natafuta kabinti kadogo, kateke, english medium, dot. com ambacho kitakuwa kinaniliwadha kwa kuniimbia nyimbo za blues na swagga za kudeka deka hivi na kunitania tania na vijimambo vingine kama kuni-facebook n.k ila sio kuchakachuana
Sina nia mbaya ni kutaka tu kujifurahisha mtima wangu na kupunguza stress za maisha ila narudia tena kuchakachuana NO
Hata mimi nacheza kikapu siku hizi!