Natafuta juke box iwe mpya au used, naomba unipe na bei yako, unapatikana wp? Vile vile hataukinisaidia kwamba zinauzwa wp utakuwa mtu mwema maana sijui wapi zinauzwa hizi vitu hata kama nje naombeni mnjuze.
Ebay ni mnada kwa hio ukibahatika unaweza kulipata la rahisi na wakati mwengine linaweza kukugharimu vilevile kulingana na jinsi gani limetumika (condition) lakini la standard kwa kukisia unaweza kulipata kuanzia £150 mpaka £400 plus usafiri mpaka bongo £50 sasa piga hesabu exchange rate na likifika huko mambo ya ushuru ni juu yako. Itakavyokuwa gharama zote kuanzia manunuzi zitakuwa open kwenye invoices ( No hidden cost) Mimi utanigea tu ahsante kama buku 50 walau mamdogo abadili mboga.:dance: Kama vipi ni PM.