Natafuta joint venture

Lofawamali

JF-Expert Member
Jun 9, 2014
304
146
Habari wanajamvi natafuta mtu wa kuingia nae ubia nina eneo kubwa maeneo ya Mbezi beach karibu na Ghorofa za B.O.T.
Eneo ni kubwa kwa macho i mean physical lakin cjalipima na ni suitable for Appartment am up for any idea lakin eneo ni kubwa linafaa kwa biashara kama hotel na Appartment.
Kwa mawasiliano nichk 0785022284 on watsapp ordinaly call 0625799035
Kwa anayehitaji tu tafadhali
Nipo tayari kukupeleka kwa mtu ambye yuko serious kwa ajili ya kuliona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom