Mbona ruti Dogo sana hilo? Mm nakimbia toka masaki via moroko mpaka magomen then napita muhimbili salendaer to coco beach kisha narud kumaliza Na fitness za kawaida....hii n daily routine kila ifikapo saa kum Na moja jionii
zoezi la ukweli ni kukimbia tu mkuu,kikubwa uwe na vifaa rafiki vya mazoezi,mp3 raba nyepesi na tracksuit ya kubana mwili,baada ya wiki lete mrejesho hapa,ukikimbia unatikisa mwili wote kasoro masikio tu!