Natafuta jogging partner

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,582
48,737
Jogging partner!!

Awe maeneo ya mbezi beach

Muda wa mazoezi saa kumi na moja hadi saa moja jioni

Hakuna biashara ingine

All gender
 
mkianza jogging pamoja , then mko close katika kutembea ama mazoezi mepesi, jasho la mwanamke na mwanaume+jasho la mwanamke = mhemuko kwa wote. hakuna maswali. mtatiana tu!!!!!! hiyo chemistry hata sijui inafanayje kazi wataalam wa bilogia watwambie hapa. ndio maana hawa persnal trainers wanawakula sana akina mama kiulaini. mlioooa kama mama anenda GYM kwa personal trainer wewe haupo ushaliwa!!! maaan mama akiona ile misulii heheehe. mie spo na siwezi kuwa partner maana utaniingiza majaribuni bure!!
 
Umejitokeza kwa wakati muhafaka, hata mimi nilikuwa nahitaji partner wa Jogging. Kumbuka! Nahitaji partner na si partners.
 
mkianza jogging pamoja , then mko close katika kutembea ama mazoezi mepesi, jasho la mwanamke na mwanaume+jasho la mwanamke = mhemuko kwa wote. hakuna maswali. mtatiana tu!!!!!! hiyo chemistry hata sijui inafanayje kazi wataalam wa bilogia watwambie hapa. ndio maana hawa persnal trainers wanawakula sana akina mama kiulaini. mlioooa kama mama anenda GYM kwa personal trainer wewe haupo ushaliwa!!! maaan mama akiona ile misulii heheehe. mie spo na siwezi kuwa partner maana utaniingiza majaribuni bure!!
hayo ni mawazo yako mkuu . sasa tutatiana huko uwanjani? mazoezi hatufanyi chumbani jamani kuna uwanja jirani
 
wewe mnaanzia uwanjani mnaishia ndani. maana specifically mtu wa mbezi mnajog mnapitia juice home heheeee kupooza koo na mwili. ikimbieni dhambi ya uzinzi shetani anakuja kwa rangi nyingi sana. mwishao anakuangusha.
 
Back
Top Bottom