Natafuta Jinsi ya kupata YELLOW PAGES book

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
437
Reaction score
715
Habari wadau.. Hivi wale wanajiita Yellow Pages bado wapo?? Je na kipataje Kile kitabu Chao kwa ajili ya Kupata contact za Makumpuni??

Lakini pia hivi Hawana Soft copy yao online?? .

Au sikuizi kuna Competitor wao wameibuka? Je naweza Kuwajua?

KWA MWENYE SOFT COPY YA 2020/2021 Naomba aniforwadie

Email yangu ni: Ubunifulink@gmail.com
 
Naungia hapa kupata pdf za vitabu mahususi kujisomea

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau.. Hivi wale wanajiita Yellow Pages bado wapo?? Je na kipataje Kile kitabu Chao kwa ajili ya Kupata contact za Makumpuni??

Lakini pia hivi Hawana Soft copy yao online?? .

Au sikuizi kuna Competitor wao wameibuka? Je naweza Kuwajua?

KWA MWENYE SOFT COPY YA 2020/2021 Naomba aniforwadie

Email yangu ni: Ubunifulink@gmail.com
Reoon YP wanatoa hyo huduma gharama ni $15/month. Kuna mwngne nmesahau jna ambaye ni $60 kwa miezi sita
 
Habari wadau.. Hivi wale wanajiita Yellow Pages bado wapo?? Je na kipataje Kile kitabu Chao kwa ajili ya Kupata contact za Makumpuni??

Lakini pia hivi Hawana Soft copy yao online?? .

Au sikuizi kuna Competitor wao wameibuka? Je naweza Kuwajua?

KWA MWENYE SOFT COPY YA 2020/2021 Naomba aniforwadie

Email yangu ni: Ubunifulink@gmail.com
Nenda ttcl, vipo vile vitabu vikubwa, vina Yellow page namba za sm, na matangazo mblmbl vinauzwa hivyo vitabu.
 
Gazeti la Mtanzania pia wanatoaga wanaita National Business Diary. Nimewasiliana sana na makampuni ya Dar zaidi ya elf moja. hadi nitulie ndo nikusanye

Back
Top Bottom