Natafuta jembe la tractor

Natafuta jembe la tractor

Habari wandugu niko na tractor sehemu ambayo kuna uhitaji wa jembe like la kupigia mistari yaani miraba linaitwa RIJA yeyote anayejua wapi mtu analo hasa la mtumba meno 2 au 3 anijulishe namba 0653 639214
Wewe uko wapi
 
Back
Top Bottom