Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,524
- 2,798
Wakuu habari za asubuhi. Nahitaji msaada wapi ninaweza pata bidhaa hiyo kwa Dar es salaam. Au kama kuna mtu anauza ani pm tuongee. Nahitaji mpya au used yeyote itakayopatikana kati ya hizo. Iwe na ukubwa wa 16 or 32 GB. Dau kuanzia 200ke. Nawasilisha kwenu wakuu.