Natafuta iPhone 6

Natafuta iPhone 6

Tapeli huyo kuweni makini,mimi nimeponyoka kwenye mikono ya matapeli wa jamii forums 3 times

Nishawahi kukutapeli nini? Nishawahi kununua au kukuuzia kitu gani? Kabla hujacomment kwenye post fikiria unachokisema.!
 
Nani sio mnunuzi.? Tulipangaje mwanzo kabla hujaja kinondoni.? Tulipanga muda gani na wewe ukaja muda gani? Mbona jana yake ulivyokuwa hupokei simu sikupost humu kuwa wewe sio muuzaji?
Mafuta gani uliochoma? Una gari wewe au pikipiki? Mbona hukusema ulisema unakuja na daladala.? Usikasirike kama hukufanikiwa kuuza.

Maelezo yako tu hapa unaonekana wewe Tapeli, mara oohh umekuja cku ambayo Cjakuambia, mara nakupigia hupokei kesho yake! Hata ingekuwa mm nisingepokea kwa sababu hata kama ungekuwa hujamwambia kwamba aje cku hyo kwa nn usingeopokea cm yake? Acha kupotezea watu muda na kujifanya unataka vitu vya bei ya juu kumbe huna lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom