Natafuta iPhone 6

Natafuta iPhone 6

Lazarus

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
364
Reaction score
94
Natafuta iphone6 iwe used au mpya kwa 1,000,000. Napatikana dar.
 
Bado, kama unayo nitumie picha whatsapp
 
Mkuu ipo hiyo hiyo 1m alafu pamoja na chaj
 
Sikutarajia kama unaweza kuanzisha thread kumbe siyo mnunuzi. Umenifanya nimeacha mambo yangu, nimechoma mafuta kuja mpaka Kinondoni halaf unaiblock namba yangu. Ungekuwa huna mpango na hyo biashara ungesema tu.

Kuna watu humu JF wana mambo ya kishamba sana. Sasa watu mnajubaliana kufanya biashara halafu mtu ana kublock!!!
 
Sikutarajia kama unaweza kuanzisha thread kumbe siyo mnunuzi. Umenifanya nimeacha mambo yangu, nimechoma mafuta kuja mpaka Kinondoni halaf unaiblock namba yangu. Ungekuwa huna mpango na hyo biashara ungesema tu.

Jina la Nabii Suleiman analotumia halimfai kabisa. Ni sawa na Mwigulu Nchemba kujiita Sokoine:sly:
 
Last edited by a moderator:
Sikutarajia kama unaweza kuanzisha thread kumbe siyo mnunuzi. Umenifanya nimeacha mambo yangu, nimechoma mafuta kuja mpaka Kinondoni halaf unaiblock namba yangu. Ungekuwa huna mpango na hyo biashara ungesema tu.

Nani sio mnunuzi.? Tulipangaje mwanzo kabla hujaja kinondoni.? Tulipanga muda gani na wewe ukaja muda gani? Mbona jana yake ulivyokuwa hupokei simu sikupost humu kuwa wewe sio muuzaji?
Mafuta gani uliochoma? Una gari wewe au pikipiki? Mbona hukusema ulisema unakuja na daladala.? Usikasirike kama hukufanikiwa kuuza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom