Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,188
- 88,944
Mi ninayo ila naogopa nikipiga picha mtazingua nyie, ooh kwangu pabaya
kapigie kwa jirani
Mi ninayo ila naogopa nikipiga picha mtazingua nyie, ooh kwangu pabaya
Hapo ulipo mbona pamechimbika sana au uko vitani Iraq?
Bongo bwana, mtu umevaa KATAMBUGA na getho lako sakafu inahitaji repair mtaani unajigamba kumiliki iphone5 S, kweli bora uiuze ndg