Ninayo nipm View attachment 178137
weka bei hapa, wengi tunataka
Laki Sita na nusu
Hiyo haitafanya kazi .... ...... ...... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ninayo nipm View attachment 178137
iyo mbovu iyo laki sita na nusu, au mchina uyo mi ninayo nataka milioni na laki mojaLaki Sita na nusu
acheni izo mlitaka picha anawapa picha mnaanza kukagua hata mambo yasio wahusu wewe tazama cm achana na kavaa nini,wala getto lake likoje kwani wewe umeona iphone jambo kubwa sanaBongo bwana, mtu umevaa KATAMBUGA na getho lako sakafu inahitaji repair mtaani unajigamba kumiliki iphone5 S, kweli bora uiuze ndg
acheni izo mlitaka picha anawapa picha mnaanza kukagua hata mambo yasio wahusu wewe tazama cm achana na kavaa nini,wala getto lake likoje kwani wewe umeona iphone jambo kubwa sana
Kwa hiyo unauza kwa hasara?
Bongo bwana, mtu umevaa KATAMBUGA na getho lako sakafu inahitaji repair mtaani unajigamba kumiliki iphone5 S, kweli bora uiuze ndg
Ninazo mbili boy so nataka niwe na simu moja hela niipeleke somewhere else
Ninayo nipm View attachment 178137
Ipo Lak tano
Sent from my iPhone using JamiiForums