Natafuta internship katika masuala ya IP engineer, IP/MPLS engineer

Natafuta internship katika masuala ya IP engineer, IP/MPLS engineer

Hongera umenivuruga nikavurugika kwa huo mvurugo wa mamisamiati mazito

Be patient mkuu everything will be good, watu wema bado wapo watajirtokeza kukupa sapoti
 
Wanakuja......kuna jamaa mmoja alisema internship ni mwanzo wa ajira lakini ni kazi ya utumwa..
Sijui unalichukulieje hilo?
Kila la kheri
 
Screenshot_2018-02-07-23-15-07.png
 
Back
Top Bottom