Natafuta intenship nifanye ili nipate uzoefu

Natafuta intenship nifanye ili nipate uzoefu

osuvat simon

Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
12
Reaction score
3
Nina taaluma ya uchumi na takwimu ya chuo kikuu Mlimani, ndugu wanajamii forum hakika nimeamini elimu si madesa tu. kipindi nikiwa nasoma nlitumia muda mwingi na juhudi nyingi ili niweze kufaulu kama wazazi wangu walivyoniasia ''mwanangu nenda shule na ufaulu vizuri ili uweze kupata kazi nzuri'' ila ndugu zangu mambo yamegeuka yamekuwa ndivyo sivyo matumaii hakuna tena, pamoja na juhudi zangu zote nimegundua kuwa mfumo wa elimu haukuniandaa kwa lengo la kujiajiri ila unatuandaa kutafuta kazi (white colour jobs). hakika we need to change (we revolution of mind)

Fursa ni nyingi mtaani na katika fursa inayoonekana inaweza kubadilisha nfumo mzima wa maisha (freshers graduate) ila bado kuna changamoto nyingi zinazosababishwa na mfumo mzima wa benki zetu (finencial institutions) katika kuwawezesha wahitimu (loans) ili waweze kujiajiri. hakika hawana undugu wala huruma benki sio rafiki kwa asiyekua na (collateral security)

je suluhisho kwa hili tufanyaje? kwasababu wazazi waliuza mifugo, mashamba na wengine kuweka nyumba rehani ili tuweze kupata elimu wakiamini baada ya hapo watapata neema kutoka kwa watoto wao ila mambo yamekuwa ndivyo sivyo.
 
ndugu wanajamii forum hakika nimeamini elimu si madesa tu. kipindi nikiwa nasoma nlitumia muda mwingi na juhudi nyingi ili niweze kufaulu kama wazazi wangu walivyoniasia ''mwanangu nenda shule na ufaulu vizuri ili uweze kupata kazi nzuri'' ila ndugu zangu mambo yamegeuka yamekuwa ndivyo sivyo matumaii hakuna tena, pamoja na juhudi zangu zote nimegundua kuwa mfumo wa elimu haukuniandaa kwa lengo la kujiajiri ila unatuandaa kutafuta kazi (white colour jobs). hakika we need to change (we revolution of mind)

Fursa ni nyingi mtaani na katika fursa inayoonekana inaweza kubadilisha nfumo mzima wa maisha (freshers graduate) ila bado kuna changamoto nyingi zinazosababishwa na mfumo mzima wa benki zetu (finencial institutions) katika kuwawezesha wahitimu (loans) ili waweze kujiajiri. hakika hawana undugu wala huruma benki sio rafiki kwa asiyekua na (collateral security)

je suluhisho kwa hili tufanyaje? kwasababu wazazi waliuza mifugo, mashamba na wengine kuweka nyumba rehani ili tuweze kupata elimu wakiamini baada ya hapo watapata neema kutoka kwa watoto wao ila mambo yamekuwa ndivyo sivyo.

mkuu nimetumia mda mwing sana kukuelewa ila nahis sijakuelewa vzr... unataka "intenship"?? ndo nn hiyo??..
mwishon umesema tutafute suruhisho la kujiondoa kutoka kwenye mfumo wa kukuandaa kua msaka ajila na badala yake uwe mtu wa kujiajil.. (point nzur ila hujaijenga katika uandish wako)

then angalia sana maneno yako ya kwenye mabano... mara ujiite "we revolution mind"
ila nakutakia kila la kher katika kupambana na maisha... inshallah utapata kaz... blv and focus
 
hayo ni makosa madogomadogo2 yanayosababishwa na msongo wa mawazo kutokana na changamoto zinazonikabili ila vizuri kwa uelewa wako.... karibu uendelee kuchangia mada
 
Back
Top Bottom