Natafuta IBC tanks

Natafuta IBC tanks

ROKY

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
182
Reaction score
70
Wana-JF,
Natafuta matank aina ya IBC. Nataka kununua hivyo naulizia upatikanaji wake na bei zake.
Niko Dar es Salaam. Mwenye kufahamu wapi nitapata haya matank ya IBC aniambie na pia nitayapata kwa bei gani.
Naambatanisha picha ya IBC tank.

IBC_container.jpg
 
Haya ma-tanki nimeyaona Ubungo (stendi ya shamba).
Ila sijui bei zake. Watembelee jamaa pale ujue bei zao.
 
Wana-JF,
Natafuta matank aina ya IBC. Nataka kununua hivyo naulizia upatikanaji wake na bei zake.
Niko Dar es Salaam. Mwenye kufahamu wapi nitapata haya matank ya IBC aniambie na pia nitayapata kwa bei gani.
Naambatanisha picha ya IBC tank.

IBC_container.jpg

Mkuu naomba nieleze utofauti uliopo katika nyanya ya lifetime, ukiyalinganisha na yale ya simtank au sijui Kiboko.
 
Mkuu naomba nieleze utofauti uliopo katika nyanya ya lifetime, ukiyalinganisha na yale ya simtank au sijui Kiboko.

Naona labda simtank yatakuwa na lifespan kubwa zaidi.
Ila mimi nayahitaji ma-tank haya IBC kwa ajili ya kazi maalum ya bustani za mboga, maana haya ma-tank ni rahisi kubebeka na yako tayari kutumika kwani tayari yana bomba la kutolea maji.
Ile 'housing' yake ya chuma inawezesha IBC tank kubebeka kwa urahisi sana kwenye shuguli za bustani.
 
Wadua, bado natafuta matenki haya. Mwenye kujua wapi nitayapata kwa bei nafuu anijuze.
Asanteni.
 
Wadua, bado natafuta matenki haya. Mwenye kujua wapi nitayapata kwa bei nafuu anijuze.
Asanteni.
 
Maeneo ya Tegeta (kwa ndevu) pale kwenye maduka ya hardware mengi ....yapo mengi tuu huwa nayaona ila bei sijui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom