Kama wadau walivyosema dish linamoveHabari za humu wadau,
Ninatafuta ISP ambaye anaweza kutoa huduma ya internet kwa njia ya satellite.
Tafadhali kama kuna mtu anaweza nisaidia humu itakuwa vizuri pia maswali yafuatayo:
1. Je dish ambalo akifunga nitaweza kumove nalo kutoka mahali alipofungia?
2. Je ninaweza kumove nalo pia outside the country nchi kama Kenya, Rwanda au Congo?
3. Je gharama zake zipoje?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Chief.....Kama wadau walivyosema dish linamove
Na satelite zinakuwa na kitu wanaita beam, ni coverage ambayo hio satelite inatoa, hivyo kwa nchi tunazopakana nazo mfano Rwanda, Congo, Uganda, Kenya etc unategemea same provider awe anacover zote, ila Nchi za mbali inawezekana zisiwe na coverage za huyo Isp.
Pitia hapa kuwaona isp wa satelite
Na bei ni ndefu kidogo jiandae dola 100 kupanda kwa mwezi.
Samahani wakuu huu ni wa mda kidogo ilà naomba kuuliza dish lenyewe kufungiwa linagharimu Tsh ngapi kabla ya malipo kwa mweziKama wadau walivyosema dish linamove
Na satelite zinakuwa na kitu wanaita beam, ni coverage ambayo hio satelite inatoa, hivyo kwa nchi tunazopakana nazo mfano Rwanda, Congo, Uganda, Kenya etc unategemea same provider awe anacover zote, ila Nchi za mbali inawezekana zisiwe na coverage za huyo Isp.
Pitia hapa kuwaona isp wa satelite
Na bei ni ndefu kidogo jiandae dola 100 kupanda kwa mwezi.
Dishi inategemea na kampuni husika vifaa vyao wanauzaje, ila ki kawaida concept yake haitofautiani na Dishi la nyumbani sana.Samahani wakuu huu ni wa mda kidogo ilà naomba kuuliza dish lenyewe kufungiwa linagharimu Tsh ngapi kabla ya malipo kwa mwezi
Ahsante mkuu kwa majibu mruaDishi inategemea na kampuni husika vifaa vyao wanauzaje, ila ki kawaida concept yake haitofautiani na Dishi la nyumbani sana.
Wengine installation fee inakuwa ni bure kabisa. Hivyo unaweza wasiliana na kampuni husika.