[/QUOTE]Mkuu mimi nauliza kama hapa bongo kuna dealers wa Huawei ukiondoa sasatel ambao wanauza Huawei CDMA phone.
ngoja nicheki na jamaa yangu yupo huawei hapa wanasaply sana cm na modem zao
kwa hapa bongo sijui kama kutakua na dealer wa Huawei but jaribu kupita kwa trusted dealers wowote kama utapata ila kama itakuwa ngumu basi kubaliana nao wafanye mchakato wa kuiagiza nje.