Natafuta hizo boxer kwa bei za jumla

Natafuta hizo boxer kwa bei za jumla

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Natafuta boxer kama zinavyoonekana hapo kwenye picha kwa jumla, kama unajua wapi naweza kuzipata nichek PM
Screenshot_20191008-182421.jpeg
 
mkuuu hiyo boxa unavaaaa wewe?

rangi yake hiyo sasa ni safi au chafu?

hv bebe anakuvua anakutana na kitu ya hivyo kweli?

heri yangu najifunga shuka sivai hiso fitu
 
Hizi za mpira hapana kwakweli...halafu hii dizain dah..hivi bado zipo hizi..?
 
Hizi za mpira hapana kwakweli...halafu hii dizain dah..hivi bado zipo hizi..?
Bado zipo na kuna watu wengi wanakuja dukan kuziulizia, sehemu nilipokuwa nazichukua dar zimeisha ndio maana
 
Back
Top Bottom