Natafuta hii kitu katika picha

Natafuta hii kitu katika picha

Dinnah

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
791
Reaction score
1,062
Salamu wakuu,
natafuta hiki kitu katika picha anayejua kinapopatikana kaliakoo kwa bei rahisi anijulishe inatumiwa na wanao tengeneza mazulia (handmade carpet)

katika pitapita nimezikuta msimbazi ila bei wapo juu sana [emoji120]
Screenshot_20200523-131306.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni kwa mlionielekeza pm nilipata chimbo.

Shukrani.
 
Back
Top Bottom