Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 105
Wadau natafuta gari ya kukodi kwa ajili ya Sherehe ya Harusi weekend ijayo; gari aina ya Toyota~Harrier ikipatikana nyeusi iliyo katika hali nzuri itakua vyema zaidi, nazihitaji mbili kama zinapatikana tuwasiliane ni PM namba yako nije kuzicheck au zitupie hapa kati contacts na gharama yake kwa faida ya wengine pia"
Nawasilisha!!
Nawasilisha!!