Natafuta hard disc ya 80gb na 300

bei inategemea upo mji gani? ndio itakuwa vizuri kukupa ushauri,unaweza kutajiwa bei za Mwanza kumbe upo Bukoba piaitasaidia kukuelekeza maduka ya kwenda kutafuta Bidhaa hiyo
 
habar wana jf.naombeni mwenye hdd ya 80gb na 300gb aniambie bei ya kila moja bei gani ili ninunue.

kaka mimi ninayo hard disk ya 80gb unayotaka sijawahi kuitumia kwa sababu kOmputa YANGU ilikuwa ndogo haikuweza kuisukuma,ninaiuza kwa 70000/= mimi nilinunua kwa shs 85000/=,mimi nipo dar,kama unaihitaji then tuwasiliane.
 
Siku nyingine ukihitaji kitu jitahidi uwe na maelezo timilifu, unaweza uziwa hdd ya blackbox ya ndege
 
siamini kama unawwza pata 80gb is too old sasa hivi wanatengeneza kuanzia 320gb upwards
 
Jamani na mimi naomba kuuliza.Eti EXTERNAL HDD ZA 500GB HAZIKAI MDA MREFU ZINAHARIBIKA?upi ukweli jaman?wengine wanasema ukiitoa dukani inaharibika siku hiyo hiyo.NAOMBA UKWELI WA HII KITU TOKA KWA ITs
 
Wahaha hahaaa! duh, nimecheka balaa! Maswali nyingine bana!
 
Jamani na mimi naomba kuuliza.Eti EXTERNAL HDD ZA 500GB HAZIKAI MDA MREFU ZINAHARIBIKA?upi ukweli jaman?wengine wanasema ukiitoa dukani inaharibika siku hiyo hiyo.NAOMBA UKWELI WA HII KITU TOKA KWA ITs

Chukua ya 1.0 Terabyte itadumu. Ila ukweli ni kwamba siyo kweli, mi ninayo 500GB nilinunua 2009 hadi leo nadunda nauo mkuu! kwa hiyo ni matumizi yako tu, kama unampatia mtoto akaiangusha kila wakati sahau kudumu nayo!
 
kwa hapa China Hard Disc ya 500Gb aina ya HITACHI ama SAMSUNG Original zinapatikana kwa bei ya 500.00 CNY = 117,919.46 TZS

kama upo tayari tuwasiliane

hata mimi nimezinunua na nina mwaka sasa nazitumia bila shka yeyote ile
 
Ipo.... TRANSCEND
eSATA & USB dual-connection interface
Silent 80mm fan for cool & stable operation
Capacity:500gb,1TB,1.5TB
Dimension:197.5mm x 127.5mm x 48mm
Weight:340g 9 (without hard drive)
 
habar wana jf.naombeni mwenye hdd ya 80gb na 300gb aniambie bei ya kila moja bei gani ili ninunue.

PIA NAONGEZEA KUULIZA HDD 300GB au 500GB YA PC KWA MADUKA YA DAR NI BEI GANI.ANAYEJUA DUKA AMBALO LINA BEI NAFUU ANIJUZE.HUKU TABORA NI WEZ ETI DELL PC MTUMBA YA GB 40 WANAUZA LAKI 6.
 
kaka mimi ninayo hard disk ya 80gb unayotaka sijawahi kuitumia kwa sababu kOmputa YANGU ilikuwa ndogo haikuweza kuisukuma,ninaiuza kwa 70000/= mimi nilinunua kwa shs 85000/=,mimi nipo dar,kama unaihitaji then tuwasiliane.

hiyo hata mimi nahitaji.NIKUPE 50000?kama inawezekana nijibu ili tutafutane ndugu nakuja DAR mwezi huu tarehe za mwishoni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom