Natafuta Gynecologist mzuri Mbeya

Natafuta Gynecologist mzuri Mbeya

Nairart

Member
Joined
May 13, 2019
Posts
22
Reaction score
36
Habari zenu wakuu.

Yeyote anaejua daktari wa magonjwa ya kina mama MBEYA na anapopatikana naomba msaada wa maelekezo. Nisaidieni mwenzenu, mwaka wa 3 kwenye ndoa nahangaika tu.

Sijabahatika kupata mtoto.
 
Habari zenu wakuu. Yeyote anaejua daktari wa magonjwa ya kina mama MBEYA na anapopatikana naomba msaada wa maelekezo. Nisaidieni mwenzenu, mwaka wa 3 kwenye ndoa nahangaika tu, sijabahatika kupata mtoto.
Njoo dm nikuunganishe nae
 
Habari zenu wakuu. Yeyote anaejua daktari wa magonjwa ya kina mama MBEYA na anapopatikana naomba msaada wa maelekezo. Nisaidieni mwenzenu, mwaka wa 3 kwenye ndoa nahangaika tu, sijabahatika kupata mtoto.
Nashauri ungeenda kupima na Mr.

Unaweza kudhani wewe ndio una tatizo kumbe Mr. Ndio mwenye tatizo.

Siku hizi wanaume wengi Wana tatizo la kutokutungisha mimba.
 
Sawa. Asante kwa ushauri
 
Pole sana ila kama mdau alivyosema hapo juu nenda na mwenzako mkachekiwe wote kwa pamoja
 
Habari zenu wakuu.

Yeyote anaejua daktari wa magonjwa ya kina mama MBEYA na anapopatikana naomba msaada wa maelekezo. Nisaidieni mwenzenu, mwaka wa 3 kwenye ndoa nahangaika tu.

Sijabahatika kupata mtoto.
Nicheki DM. Lakini kwa kifupi infertility ni matokeo ya mayai kutokutengenezwa, kutengenezwa lakini mbegu za mwanaume hazina afya, au mayai kutengenezwa lakini kushindwa kusafiri yakutane na mbegu. Vipimo vya awali vitafocus kwenye hayo maeneo matatu makuu. Nimesaidia wanawake wengi, so kama upo Mbeya nicheck.
 
Habari zenu wakuu.

Yeyote anaejua daktari wa magonjwa ya kina mama MBEYA na anapopatikana naomba msaada wa maelekezo. Nisaidieni mwenzenu, mwaka wa 3 kwenye ndoa nahangaika tu.

Sijabahatika kupata mtoto.
Pole sana...na mzee nae akapime sperm

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wakuu.

Yeyote anaejua daktari wa magonjwa ya kina mama MBEYA na anapopatikana naomba msaada wa maelekezo. Nisaidieni mwenzenu, mwaka wa 3 kwenye ndoa nahangaika tu.

Sijabahatika kupata mtoto.
Huyo anaye kugegeda una uhakika naye...?
 
Ivi Meta pale huwezo saidiwa kweli?
 
Back
Top Bottom