NATAFUTA GYM YA MAZOEZI Banana

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Wakuu habari za mchana kwa wenyeji wa banana naomba kuuliza Gym inapatikana maeneo gani kwa hapa banana ili nipunguze kitambi mimi ni mgeni mazingira haya
 
hivi mkuu hako ka poti una taaarifa zake ? hako umekaweka profile,nini kilikakuta baada ya mh kuondoka Butimba ?
 
Acha uvivuuu tembea apo adi aupande mlima pugu na kurudiii

uamuapo fanya mazoez ili upungue uhakikishe vyakula viongezavyo mwili unavipunguzaa
 
Wakuu habari za mchana kwa wenyeji wa banana naomba kuuliza Gym inapatikana maeneo gani kwa hapa banana ili nipunguze kitambi mimi ni mgeni mazingira haya
Njoo huku Mkunje Logde vifaa vyote vipo
1032966728.jpg
 
Ongeza jiko uone kama hujakonda ikifika june 2022 nitakupa milioni .... usiulize nitaipata wapi
 
Panda kilima magereza kwa speed ya ngiri....

Mala mbili kwa siku!!!
 
Back
Top Bottom