DuhNakutakia upate sehemu nzuri mkuu ila kuwa makini,
Sasahv vyombo vya usalama hapa nchini vinafuatilia sana vijana wanaoingia gym, barber shops na sehemu za kubet wakiwahusisha na wauzaji au watumiaji wa madawa ya kulevya
Mnaweza kutwa mmekaa kama wanne mahali hasa gym wanawahoji au wanawachukua tu kuwapeleka polisi station na kuwachafulia majina
Kuweni makini wakuu, Arusha na Mwanza wameshaanza hizo mambo.