Natafuta Guta la Sinoray

Natafuta Guta la Sinoray

KAHIMERIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
358
Reaction score
424
Wakuu habari zenu

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema

Nina uhitaji wa ile chuma ya kazi iliyotumika kwa sababu bajeti yangu haitoshi kununua mpya.

Natafuta Senoray cc 300 used akiwa kwenye hali nzuri
 
Guta ni sinoray 250cc q7 tu!, hii chuma ni habari nyingine kabisa, ina nguvu roho ya paka, inavumilia shurba na mikiki mikiki ya kila namna pamoja na kukupa maisha marefu zaidi, ninayo hapa huwa nadundia mpunga mpaka gunia 27.
 
Asante mkuu
 
Ni bora kuizidi wanho?
 
Binafsi sijawahi kuitumia ila watu wengi sana wanasema kwa sasa guta mzuri ni sinoray hata ambao wanatumia wanhoo baadhi pia wanashauri sinoray ni bora zaidi
 
Ni bora kuizidi wanho?
wanho bado mlaini mno kwa show dume za porini likianzaga kudai service hata ulihudumie vipi lazima lisumbue tena baada ya mda mfupi tofauti na sinoray!, uzuri wake yote nimetumia kuanzia wanho, fekon, kevla na sinoray ila kwa yote sinoray nampa maua yake kwakweli!.
 
Wakuu habari zenu

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema

Nina uhitaji wa ile chuma ya kazi iliyotumika kwa sababu bajeti yangu haitoshi kununua mpya.

Natafuta Senoray cc 300 used akiwa kwenye hali nzuri

Nimeyaona matatu mpaka sasa.
 
Hv biashara ya guta kumkabidhi mtu akuletee 20000/day vipi inalipa wakuu?
Na je ipi bora,kununua jipya dukani au kuchukua la mkononi likiwa bado bichi?
 
Na ni kweli kuna fundi pia nilijaribu kumuuliza uimara wa hz kampuni kwa upande wa Guta,yule fundi alinijibu tu kiufupi,"Chukua Sinoray"
Inaonekana wapo vzr hawa jamaa.
 
Yeah wengi wanasema ivo
 
Hv biashara ya guta kumkabidhi mtu akuletee 20000/day vipi inalipa wakuu?
Na je ipi bora,kununua jipya dukani au kuchukua la mkononi likiwa bado bichi?
Mzuti ni mpya ila sisi tunataka used kwa sababu ya budget yetu
Na kuhusu kumpa mtu apo inategemea sasa na uyo mtu ila mimi nakomaaga mwenyewe
 
Hv biashara ya guta kumkabidhi mtu akuletee 20000/day vipi inalipa wakuu?
Na je ipi bora,kununua jipya dukani au kuchukua la mkononi likiwa bado bichi?
sisi huku ziwani tunayanunua mapya 6,800,000/= ule mwezi wa 5 kwaajili ya kupakilia mpunga kupeleka mashineni kwa siku kulala na 100,000/= ni kawaida kabisa minimum.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom