Alex Hamadi Hamis Member Joined Apr 18, 2017 Posts 86 Reaction score 57 May 30, 2020 #1 Nahitaji godoro used, 5 kwa 6. Liwe kati ya inches 6 au 8. Nipo Sinza A, karibu na Mlimani City. Tuwasiliane kwa +255683018095
Nahitaji godoro used, 5 kwa 6. Liwe kati ya inches 6 au 8. Nipo Sinza A, karibu na Mlimani City. Tuwasiliane kwa +255683018095
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,476 Reaction score 16,188 May 30, 2020 #2 Mkuu nakushauri tafuta tu jipya, kuna vitu unaeza miliki ukajikuta unamiliki na mikosi yake!!
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,191 May 30, 2020 #3 Achana na magodoro used ingia k/kko chukua FRESH from Kiwandani,utakuja kulalia Godoro alilokuwa anapigiwa "MITI" Amber Rutty au Giggy Money!!!
Achana na magodoro used ingia k/kko chukua FRESH from Kiwandani,utakuja kulalia Godoro alilokuwa anapigiwa "MITI" Amber Rutty au Giggy Money!!!
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,174 Reaction score 26,911 May 30, 2020 #4 Unataka kununua godoro alilochapiwa Suzi,mwajuma,hadija,esta,shufaa,Sheila Leila .Sara janeth na wengineo Wakaacha majasho yao na liquid zingine Yaani umishindwa kujikusanya ukapata 150k ukapata jipya kabisa uanze nalo wewe Mtalilia magodoro mengine Yana nuksi na laana Kuna watu wamezibuliwa mtaro juu ya hayo magodoro zile particle ,bacteria bado zipo zipo Nunua jipya wewe
Unataka kununua godoro alilochapiwa Suzi,mwajuma,hadija,esta,shufaa,Sheila Leila .Sara janeth na wengineo Wakaacha majasho yao na liquid zingine Yaani umishindwa kujikusanya ukapata 150k ukapata jipya kabisa uanze nalo wewe Mtalilia magodoro mengine Yana nuksi na laana Kuna watu wamezibuliwa mtaro juu ya hayo magodoro zile particle ,bacteria bado zipo zipo Nunua jipya wewe