"natafuta girlfriend"

strtmaster

New Member
Jun 22, 2012
1
0
Mimi ni mvulana wa miaka 24, natafuta girlfriend:

  • Awe na miaka kati 18 - 19.
  • Awe mkristu, mwenye nidhamu na heshima.
  • Awe na mapenzi ya kweli.
  • Awe mweupe au maji ya kunde.
  • Awe mrefu.
  • Asiwe mbeya.
:A S-heart-2::A S-heart-2:
 
wenye huo umri wako Shule, subiri kwanza wamalize shule..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom