Natafuta girlfriend anayejiheshimu na mkweli

Hii namba iliyoishia 08 kama naifahamu....
 

hizo no akudip au? maana kupiga ni kinyume taratibu
 
Duuh jamani kumbe hujampata tu mchumba hadi leo?? Mungu atakusaidia, utampata tu
 
kuna demu flani hivi alikuwa demu wangu mda mrefu tu ila tumeachana kwa sababu nilichepuka akajua...ila yuko vizuri ana vigezo vyote na muislam swafi anamiaka 26 hv...km unataka mawasiliano naye niambie nikuinbox bado yupo single naendelea kuchat naye lakini si wapenzi tena
 
Mademu wa social networks noma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…