shabaan Dogo
Senior Member
- Apr 27, 2014
- 196
- 82
asubuhi njema
mambo ya kuanika namba za simu hapa itaja kucost shaulilo
agrrrrh, mtu miaka zaidi ya ishirini na tano yupo yupo tu, bado anahangaika kutafuta mwanamke kwenye mitandao, af wengi ni wanaume, sjui kwa nini?!!!!Yab uyu mleta huu uzi ni kama watatu na ni iviivi yan watu skiz cjui wanaichukulieje jf
agrrrrh, mtu miaka zaidi ya ishirini na tano yupo yupo tu, bado anahangaika kutafuta mwanamke kwenye mitandao, af wengi ni wanaume, sjui kwa nini?!!!!
mmmmh! nimeangalia thread zake zote ni za kutafuta mchumba...Itakua wanatafta wanaume wenzao hawaa si buree
Mimi ni kijana Mtanzania naishi Dar umri 28 natafuta mpenzi wakike mwenye kujitambua na mapenzi ya kweli awe muislam ajue dini hata kidogo.
Umri18-23
Natakae weza funga nae ndoa siku zijazo tuwasiliane kupitia pm
0689251011/0766755508.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Karibu sana kwa jamii ya warembo wetu mkuu...
Mimi nikijana mtanzania naishi dar nipo singule umri 28 natafuta girlfriend anae jitambua na kujiheshim awe muislam na mkweli na muaminifu mungu akipenda tufunge pingu za maisha naomba tuwasiliane kwa pm 0689251011 /0766755508
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums