Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
Mkuu wasiliana na mdau Dullymo ni member humu dealer wa magari.
Au member mmoja anaitwa Kitomai au Expertbroker hawa nao ni members humu ndani......! Lakini nina wasiwasi na offer yako inaweza kuwa ndogo kwa aina ya gari unalotaka!
Dah huyo Kitomai ni dalali mzuri sana mimi nitamplekea kitanda akipige bei kinapiga kelele mno.
Ha!ha!ha!ha!ha!...hicho kitakuwa cha kamba.....aka telemka tukaze...sio?
Hautaki RAV 4 make ya 1996 km 80,000 tu? milango mitano?
Dah huyo Kitomai ni dalali mzuri sana mimi nitamplekea kitanda akipige bei kinapiga kelele mno.
Mkuu kaniki kwa Specs ulizotoa pamoja na Offer yako Mchuma utapata!!
Kwi kwi kwiiiiiii Fidel, you made my day mkuu....
Hautaki RAV 4 make ya 1996 km 80,000 tu? milango mitano?
Tazama picha zake. Ni Nissan Terano ya mwaka 98 bei yake inauzwa Tshs 15mil. Gari ipo katika hali nzuri ina cc sawa sawa na unazozihitaji. kama unaweza kuondoa sharti lako la 2000 tuwasiliana kupitia 0717 114409. la hauwezi nikuuzie Nissan Patrol ya mwaka 2000 ambayo bei yake ni sh 27mil. ambayo naye picha zake zimeambatanishwa. Sidhani kama itakuwa rahisi kwako kupata Nissan iliyo katika hali nzuri ya mwaka huo kwa sh 15mil.