Mteule halisi
Senior Member
- Oct 21, 2014
- 197
- 98
Toyota wish utanilipa ngapi kwa weekKama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu natafuta gari ndogo nitakayoingia mkataba na mwenye gari wa kuifanyia kazi kwa mkataba na malipo ya kila wiki.
Kikubwa zaidi isiwe na cc kubwa na makubaliano ya kiasi cha kulipwa hayo tutajadili na mwenye gari ikishapatikana, mawasiliano yangu ni 0688066177 ahsanteni!
Nakuja PmToyota wish utanilipa ngapi kwa week
Jibu hap mkuu pm huwa sikimbiliagi kabla ya kunipa ufafanuzi hapaNakuja Pm
Boss habari kama gari ipo naomba tufanye biashara mkuuFuncargo cc 1290 utanilipa ngapi
Utanilipa ngapi kwa wikiBoss habari kama gari ipo naomba tufanye biashara mkuu
180000 kwa wiki bossUtanilipa ngapi kwa wiki
una uzoefu wa mda gani barabaraniHabari za muda huu wakubwa kwa wadogo.
Naomba mwenye connection ya kuweza kunisaidia kupata bajaji ya mkataba au hesabu kwaajili ya kufanya kazi za kubeba abiria hali ni tete mtaani.
Napatikana kwa namba 0688066177 ahsanteni.