ElectronicSalim
Member
- Sep 3, 2011
- 48
- 17
Ninaishi dar es salaam maeneo ya kibamba, shuguli zangu nafanyia katikati ya mji. Nina mizunguko ya kwenda na kurudi ofisini kila siku,hadi weekends. Na pia nikiwa ofisini mara kwa mara hutoka kuhudhuria vikao na business partners. Mizungunguko yangu inahitaji gari, hivyo ninahitaji gari ya kukodi.
Ni lazima gari iwe inatumia mafuta vizuri, angalau 8L/100km. Nitaijaribu kuona kama inafikisha huo umbali.
Ningependelea iwe ni vitz au ist au peugeot, au gari nyingine yoyote inayokwenda 100km/8L au bora zaidi.
Nipigie kwa mazungumzo zaidi 0682 524 877