Nehemia Elias
Member
- May 1, 2014
- 9
- 12
Watakuja tuMimi ni dereva mwenye uzoefu, nimeendesha tax mtandao(uber and bolt),natafuta gari ya kazi iwe hesabu au mkataba, nipo tayar mda wowote kwa yeyote mwenye gari ndogo, karibu tufanye kazi
Mawasiliano: 0698789184
Sio wote, wengi hawajitambui, sisi wengine tuna familia tunaheshimuAsilimia kubwa mnasumbua sana hesabu mkuu sijui ni kwanini pia kama siyo ya mkataba gari matunzo ni zero kabisa. Hii biashara mimi tena hapana aise nimechukua namba yako nitakunganisha na mtu.
HESABU N I SHILINGI NGAPI NA MKATABA NI SHILINGI NGAPI? ILI NISHAWISHIKE KUINGIZA GARI YANGU HUKO?Sio wote, wengi hawajitambui, sisi wengine tuna familia tunaheshimu
NakaziaAsilimia kubwa mnasumbua sana hesabu mkuu sijui ni kwanini pia kama siyo ya mkataba gari matunzo ni zero kabisa. Hii biashara mimi tena hapana aise nimechukua namba yako nitakunganisha na mtu.
OkayNakazia
Hesabu ya wiki kwa gari kama umefunga gesi ni 200,000 kama unatumia petrol pekee hesabu ni 140,000 kwa wiki, pia kama ni mkataba gari ya gesi 220,000, kama ni petrol 180,000. Karibu tufanye kazi.HESABU N I SHILINGI NGAPI NA MKATABA NI SHILINGI NGAPI? ILI NISHAWISHIKE KUINGIZA GARI YANGU HUKO?
Yoyote yenye Cc isiyozidi 1200Gari ndogo ya aina gani mkuu??
Isiyozidi cc1500. Jitahidi kuijua kazi yako vizuriYoyote yenye Cc isiyozidi 1200
Sijakuelewa nia yako ni nn?Isiyozidi cc1500. Jitahidi kuijua kazi yako vizuri
Cc1500 si kubwa sana kwa biashara ya bolt, hela yote inaishia katika mafuta, minimum Cc ni 1200 mkuu faida utaiona,Isiyozidi cc1500. Jitahidi kuijua kazi yako vizuri
Unajifanya mjuajiiIsiyozidi cc1500. Jitahidi kuijua kazi yako vizuri