Natafuta Gari used, nina milioni 4

Natafuta Gari used, nina milioni 4

Ndio unapata, kuwa mvumilivu.
Jihadhari na matapeli.
Ukipata hakikisha fundi wako analikagua gari, check na TRA kama halidaiwi hlf usilipie pesa kabla hujaandikishana mkataba, kupewa kadi original na kukabidhiwa funguo

Namie nataka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom