Natafuta gari please...!

Natafuta gari please...!

4f1cf90a52e058aa65733c3884dad73b.jpg
9b5f3071d980ad97bf0686999bc8ac5b.jpg
d97804c0602798d7ab64488d8d8a3fe9.jpg
6e72d8eb9d18065584caa6a19d87f369.jpg
18296cf3ba65421e84347dc073d3c803.jpg
ac0658b018f1f4cdd873894f3fbd004f.jpg

Kama upo sirias ni PM mkuu,,
Maelewano yapo[emoji1321]
 
Mtaalam njaa, kuna vijana humu.. naona wanajitahid wakurambishe shubiri.... et ukanunue brevis wakat unalia vyuma vimekaza.. itakuua siku si zakoo... 1JZ itakutoa machoziii...

Katika gar ulizolist.... hapo gari ambazo ni rafik wa mtumiaji... ni premio... tena na yenyewe kuwa makin... kuna premio F,X,G...
Hapo nimezipanga kutokana na unywaji wake mafuta... ukipata F yenye mashine ya 1NZ utafurah sanaa....
Lakin pia IST ni gar nzuri sana... kwahyo kaz kwako kuchagua kati ya premio F na IST...
 
Brevis inakula sana mafuta achana nayo....hizo zingine sawa tuu
 
Nina BREVIS ina namba ya zambia BAE Kamaunataka ipo hapa hapa dar
 
Wanajamvi.....

Nina dharura kidogo, kwa sasa nahitaji gari kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...., hela niliyonayo ni milionn 6-7. Gari ninalohitaji liwe mojawapo kati ya haya:- IST, GX110, PREMIO au BREVIS, na VEROSA

Gari iwe na namba C au D...., iwe kwenye ubora! Vyuma vimekaza jamani, sina zaidi ya hiyo hela.

Nicheki PM, nipo Dar es salaam

Njaa
ninalo la IST sema uko wapi tufanye biashara
 
Wanajamvi.....

Nina dharura kidogo, kwa sasa nahitaji gari kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...., hela niliyonayo ni milionn 6-7. Gari ninalohitaji liwe mojawapo kati ya haya:- IST, GX110, PREMIO au BREVIS, na VEROSA

Gari iwe na namba C au D...., iwe kwenye ubora! Vyuma vimekaza jamani, sina zaidi ya hiyo hela.

Nicheki PM, nipo Dar es salaam

Njaa
Mkuu ushapona tatizo lako la koo?nami naumwa nateseka sana mkuu kama umepona nambie namba yngu hii0788442067

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom