Kiongozi natafuta gari mark II used sijali cha kilomita but ninataka bodi iwe safi nje na ndani ninayocash 3 million please if so contact me 0714426160

Mkuu kama usipokuwa na haraka utapata,ufuatilie minada ya bandarini,majembe pale mwenge na wa2 binafsi, utapata vumilia 2,,,je nilazima upate toyota mark 2? Kuna corrolla nk.