natafuta gari nzuri ya kutembelea.. aina yoyote kwa bei nafuu.. nipo dodoma.. pm if unayo
Ninalo Gari Suzuki escudo Milango Mirambo la 1995 liko katika Hali nzuri. Bei 8m. Hakuna dalali.