Natafuta gari aina ya noah kwa 8m

Natafuta gari aina ya noah kwa 8m

Hasadi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
258
Reaction score
52
Jamani ndugu zangu mi nina million 8 natafuta gari aina ya NOAH sijui naweza pata?
 
Utapata mkuu, ngoja niwaite wauza magari akina deusFMallya na wengineo kama ASHA ngedere n.k
 
Last edited by a moderator:
duh kazi ipo anyway old model utapata kwa bei hyo kaka ukikosa kabisa utaniPM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom