- Thread starter
- #21
Ngoja nitaenda kucheki mkuu. AhsanteDar es salaam kuna sehemu inaitwa banana ukonga, kunajamaa anazo hizo kazipaki nje anauza, karibu na njia panda ya tabata
Ngoja nitaenda kucheki mkuu. AhsanteDar es salaam kuna sehemu inaitwa banana ukonga, kunajamaa anazo hizo kazipaki nje anauza, karibu na njia panda ya tabata
Ukiwa sirius kuna madalali hukosi
Fanya haraka tukutane hukuView attachment 1081458
Nipe Ofa yako... nikuletee mashine..
Utafute na mafundi wa service na sehemu ya kupata spear.
Hii kitu zinauzwa ghari sana.
Sina hata phoenix mkuu nimeyataja sababu jirani alikuaga nayo nikayafahamu.
Brevis/Prado???????ziliwika enzi zetu, hadi Lwambo Makiad akaitungia wimbo wa kuisifu VW (VE WE) na azda. loooh, kwasasa ni mwendo wa ma brevis, Lamboghin, Prado, Tesla. VW zimetoweka yaani.
Madalali wananitaftia hizi mpya za kisasa tatizo
Hizi makitu tulikuwa nazo na hiyo last old model ilikuwa like this one except hizo ream but mechanical technician hawakuwahi kosekana home kurepair khaMtambo huo,ukiwa dereva mjinga mjinga utaitafuta reverse gear mwaka mzima na usiioneView attachment 1081497u
Mtambo huo,ukiwa dereva mjinga mjinga utaitafuta reverse gear mwaka mzima na usiioneView attachment 1081497
Sisi kwetu kijijini kuna jirani analo kafungua tyre zote kaweka mawe kalitegeshea jujuu huwezi amini ni kizimaa mara ya mwisho alikuwa naweka mafuta na betri anawasha likipata moto kwenye engine analizima ila kwa sasa ni miaka zaidi ya 10 imeeisha sijui kama bado lipo tena au laaMtambo huo,ukiwa dereva mjinga mjinga utaitafuta reverse gear mwaka mzima na usiioneView attachment 1081497
Hamnaga namba TZ kwa sasa,hizi gari mkuu ukikuta mtu alieitunza kama uwaga ngumu sana kuiuzaKumbe mpaka namba T zipo mkuu. Mi milijua ni TZ tu ndio zipo
Hamnaga namba TZ kwa sasa,hizi gari mkuu ukikuta mtu alieitunza kama uwaga ngumu sana kuiuza
Huyohuyo Lema Mirungi?Cheki na Mh Lema anazo kama 4
Hapo Arusha ndio nyumbani kwao sasa kuna moja nalionaga Dolly estate na mitaa ya Usa river ni lile la tire za spoke kama baiskeli, anayo gari na pikpik piaFanya haraka tukutane hukuView attachment 1081458
Brevis/Prado???????
ngosha nizibe mdomo
Bila kupoteza mda. Natafuta gari aina ya beetle au mgongo wa chura zile za kizamani. Mtu mwenye nayo ani pm