Natafuta gari aina ya beetle (mgongo wa chura)

Natafuta gari aina ya beetle (mgongo wa chura)

Mtambo huo,ukiwa dereva mjinga mjinga utaitafuta reverse gear mwaka mzima na usiione
Screenshot_20190118-225846.jpeg
 
Mtambo huo,ukiwa dereva mjinga mjinga utaitafuta reverse gear mwaka mzima na usiioneView attachment 1081497
Sisi kwetu kijijini kuna jirani analo kafungua tyre zote kaweka mawe kalitegeshea jujuu huwezi amini ni kizimaa mara ya mwisho alikuwa naweka mafuta na betri anawasha likipata moto kwenye engine analizima ila kwa sasa ni miaka zaidi ya 10 imeeisha sijui kama bado lipo tena au laa
 
Sijui kwanini hawauzagi mkuu. Yaani mtu bora imfie ikae juu ya mawe kuliko kuuza. Na ndio maana sana utazikuta juu ya mawe
Hamnaga namba TZ kwa sasa,hizi gari mkuu ukikuta mtu alieitunza kama uwaga ngumu sana kuiuza
 
Mwanza zipo nyingi sana pale kwa kitana ferry ya mkombozi inapopakilia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom