thanx kwa kunikumbusha hilo. concern yangu ni jinsi ambavyo watoa mada wanavyowakilisha interest zao humu JF. fikiria somebody of 19yrs age anatafuta wanawake humu!!! na ukifuatilia most of them ni either 'Member' or 'Junior Member'.

kama tunafanya JF kuwa dating site tunapoteza mwelekeo wa site hii makini
''''Kama unasoma jamii forum kwa makini, imetengenezwa kwa namna ya kikidhi haja za watu tofauti tofauti". Hi sub section uliyo coment ni maalum kwa ajili ya kutafuta marafiki, wachumba na nk.
Nakushauri ufungue sub-section nyingine (kama za uchumi, Siasa, nafasi za kazi, Serious thinker nk zinazokuvutia..