Natafuta future wife

Natafuta future wife

Ivi mbona mrejesho wa kama umepata mwenza wako ni michache sana, ina maana mafanikio ni madogo sana?
 
Nina miaka 40 msomi nimerudi hivi aribuni toka masomoni ng'ambo. Natafuta msichana amabaye yupo tayari kwa mahusiano yenye mwelekeo wa ndoa. Sijali rangi au mwonekano ajali internal beuty. Aliye tayari ani PM
Niko hapa future wife, karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom